Zari
the boss lady ameshare picha ya chumba cha kulala kwenye jumba la
kifahari la Diamond Platnumz lililopewa jina ‘[State House]. Zari
aliweka picha ya Gypsum ambayo imetengenezwa peke kwaajili ya Diamond
Platnumz huku ujumbe ukisema [Gotta love ny current view]