Kupitia
kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond
platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi
atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )