Polisi jijini Dar wamewakamata watu
wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kuiba pesa katika
benki ya NMB iliyopo Sinza-Mori, Dar.
Tukio hilo limetokea mchana wa leo
katika Benki ya NMB tawi la Sinza-Mori jijini Dar ambapo majambazi hao
walikamatwa wakiwa katika harakati za kutekeleza tukio hilo.
Majambazi hao baada ya kukamatwa wamepelekwa katika kituo cha Polisi Mabatini kilichopo Kijitonyama jijini Dar.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )