Askari
wa Kikosi cha Zimamoto Jijini Mbeya, akiendelea na jitihada za kuuzima
moto unaoendelea kuwaka na kuteketeza Mabweni ya shule ya Sekondari
Iyunga jijini humo, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa,
na jitihada za kuuzima zinaendelea.
Kikosi cha Zimamoto Jijini Mbeya, kikiendelea na jitihada za kuuzima moto huo.
Baadhi
ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Iyunga jijini Mbeya, wakiwa nje ya
Shule yao wakiangalia bila kujua cha kufanya wakati Mabweni yao
yakiteketea kwa moto.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )