Nyota ya Samatta imeanza kuonekana Baada ya leo kuipatia timu yake ya Genk bao lililowapa ushindi dhidi ya timu ya Brugge, Akiingia kutoka Benchi Dakika ya 77 wakati matokeo yakiwa mbili kwa mbili dakika ya 81 Mbwana Sammatta alipachika bao la Tatu kwa Genk ambapo matokeo yalibaki hivyo mpaka mpira unaisha dakika ya Tisini Genk 3 Brugger 2, Brugge ndio timu inayoongoza ligi hiyo kwa sasa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )