Tyrese atumia picha ya Jokate kupromote filamu yake mpya ‘The Black Book’
Tyrese amezimika na mrembo wa Bongo,
Jokate Mwegelo Lol, ameitumia picha ya Jokate kupromote filamu yake fupi
ya ‘The Black Book’.
Tyrese aliipost kwenye mtandao wa Instagram,japo aliifuta baada ya muda mfupi, Aliandika
“I have movie studio looking at your
comments!! #TheBlackBook has been unleashed… Go NOW!! Please? Click the
link in my bio and watch the movie write your DETAILED comments
below!!!!! #HappyEaster beautiful people around the world”
Itazame hapa filamu hiyo ambayo pia imemshirikisha muigizaji wa tamthilia ya Empire V.Bozeman
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )