Makalio makubwa siku hizi ndo kama
habari ya mjini. Madada wengi wamelenga sana kuwatega wanaume huku
wakijipendezesha kwa makalio makubwa na kuwachanganya wanaosimamisha
vihisia vyao kwa kulewa na makalio makubwa na kwa hakika wengi wao
hufanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Makalio haya ambayo mengi yao sio ya
asili ni fake (Fake Butts) ambazo wengi humeza vidonge, kuchoma sindano,
kupaka na njia nyinginezo. Lakini pia kuna yale ya kuvaa “Butt Pads”
huvaliwa ndani kisha nguo nyingine zinafuata.
Nick Minaj, star huyu yeye kajiongezea kitu fake.
*****
TIZAMA PICHA ZA MA-STAR WENGINE
Soma hii pia: MREMBO NA KIPAJI
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )