Featured
Loading...

VANESSA MDEE AFUNGUKA JUU YA UVAAJI WAKE WA NUSU UTUPU, ASEMA ANATANGAZA BRAND...!!!

Msanii wa muziki wa bogno fleva ambaye anafanya poa katika anga za kimataifa na sasa anatamba na kibao chake cha "Niroge" Vanesa mdee, amefunguka sababu ya yeye kupenda kuvaa nguo za nusu utupu.
Vanessa Mdee
Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na East Africa Radio na EATV, Vanessa Mdee amesema anapenda kuvaa mavazi hayo ambayo hayakubaliki kwa jamii, kwa sababu anatangaza brand yake, na hatimaye impe dili la matangazo kwa wabunifu wa mavazi.
“Ukweli ni huu, wasanii for a long time in the past, wasanii wa kitanzania hawajajua na kutambua brand yao, mi brand yangu mi nataka ndani ya miaka miwili napigiwa simu na Balmain, na Lui V, nataka dersigners wakubwa wa dunia wanitumie kutangaza bidhaa yao kwa sababu wanaamini nina brand yangu kubwa na zinaendana, so nna malengo , na if im gonna offend any body im sory”, alisema Vanessa Mdee.
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee ambaye kwa sasa ameachia video yake mpya ya Niroge, amesema ana mipango ya kufika na kutambulika dunia nzima katika kazi zake za muziki, kama alivyochora ramani ya dunia kwenye mkono wake.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top