Wanawake
wa Tanzania wameamua kupeana mashavu. Jokate Mwegelo amewatumia warembo
maarufu wakiwemo Hamisa Mobeto, Miss Tanzania wa zamani, Gena Mpangala,
na Tunda na Husna Maulid, kupromote nywele zake mpya za Malaika kupitia
brand yake ya Kidoti.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )