Rais Magufuli asema watumishi hewa wamejaa mpaka Ikulu, Ofisi ya Waziri
mkuu, Majeshini etc.Amuagiza Katibu mkuu kiongozi kuunda "task force"
yenye ulinzi maalumu ku-deal na watumishi hewa.10% ya mishahara yote
nchini hulipwa kwa watumishi hewa.Serikali yapoteza Tshs Billioni 54 kwa
mwezi, sawa na zaidi ya Billioni 648 kwa mwaka kulipa mishahara ya
watumishi hewa.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )