TIMU ya Simba SC imetupwa nje
katika michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kipigo cha mabao 2-1
kwenye mchezo wa robo fainali uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam jioni hii.
Mabao ya Coastal Union yamefungwa na Yossouf Sabo dakika ya 20 na dakika ya 86 kwa mkwaju wa penalti huku bao pekee la Simba likifungwa na Hamis Kiiza dakika ya 49 ya mchezo.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )