Nchini
Kenya ni Wabunge wa Upinzani kupiga filimbi sekunde chache tu baada ya
Rais Uhuru Kenyatta kuanza kulihutubia bunge la nchi hiyo ambapo KTN
wamesema hizo filimbi zilisababisha hotuba ya rais ichelewe kusomwa kwa
zaidi ya dakika 30.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )