Hii
ilikuwa May 13 2016 baada ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo kuwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha
kwa mwaka 2016/2017 . Hotuba iliyosomwa na Waziri Nape Nnauye ambapo kiwango kilichoombwa ilikuwa ni Sh. 20,326,176,000.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )