Baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msanii
kutoka Bongoflevani Abdu Kiba yuko tayari kujiunga na Lebel ya WCB ya
Diamond Platnumz, June 8 2016 AyO TV pamoja na millardayo.com imekutana
na Abdu Kiba na katoa majibu haya kutokana na taarifa hii ya kujiunga
WCB.
>>’Si kweli kama watu walivyomaanisha nashangaa taarifa ambazo zinasambaa kuwa mimi ninaweza kukaa mezani na kusaini WCB hapana mimi sikumaanisha hivyo kwa sababu kwanza mimi niko chini ya Lebel yangu ambayo wanasimamia muziki wangu, halafu kwenye upande wa kuimba sidhani kama upande ule ninaweza kupata madini zaidi ya huku’
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )