IMESIMULIWA NA DOKTA MUNGWA KABILI
SIMU : 0744 - 000 473 .
MISUKULE WA NGUVU ZA KIUME
Msukule ni nini ?
Msukule
ni mtu au sehemu ya mtu iliyo chukuliwa na kufichwa kichawi
kwa lengo la kutumikishwa kazi na shughuli mbalimbali za
kichawi.
Misukule
wengi wanao chukuliwa , huchukuliwa kwa lengo la kutumikishwa
kwenye mashamba, biashara,migodi, uvuvi, masokoni, madukani, ulinzi
na kwenye shughuli mbalimbali za kichawi.
Kwa ufupi misukule wengi huchukuliwa kwa sababu ya masuala ya mali na utajiri wa kichawi.
Misukule
wengine huchukuliwa kwa ajili ya kufanya kazi ya chuma ulete.
Hawa ni maarufu miongoni mwa wale ndugu zangu wanao pewa
utajiri wa punje za kuku.
Kwa
msio fahamu kuhusu utajiri wa aina hii ni kwamba, kuna vijiji
fulani vipo katika wilaya mbili maarufu huko nyanda zap juu
kusini, hutolewa utajiri wa kichawi maarufu kama utajiri wa
kudonoa ama utajiri wa kuku, ama utajiri wa kuuza miaka.
Mtu anayefanyiwa kafara hii huingia agano maalumu la kichawi la kuuza haki yake ya kuishi duniani.
Mtu huyu atatazamwa kichawi ili kubaini amebakiza miaka mingapi ya kuishi hapa duniani.
Kama
amebakiza miaka ishirini basi ataingizwa katika mkataba na
wachawi kutoa sadaka baadhi ya miaka yake . Mfano katika
miaka ishirini iliyo baki, anaweza akaambiwa atoe miaka kumi au
kumi na tano au minane .
Kitakacho amua idadi ya miaka ya kuishi ya mtu huyo ni jini aliye katika mfumo wa kuku.
Zitachukuliwa punje za mchele zitawekwa ardhini halafu kuku huyo ataanza kudonoa punje moja baada ya nyingine.
Idadi
ya punje atakazo donoa kuku huyo ndio idadi ya miaka ambayo
mtu huyo ataishi. Kama miaka ya kuishi ya mtu huyo ni
ishirini halafu kuku akadonoa punje kumi na mbili, basi maana
yake ni kwamba mtu huyo ataishi miaka kumi na mbili ya utajiri
mkubwa halafu miaka minane iliyo baki ataenda kuitumikia kama
msukule.
Kinacho
tokea hapo ni kwamba, muda wa mtu huyo unapomalizika, mtu huyo
anachukuliwa kama msukule na kwenda kutumikishwa kwenye migodi
iliyopo huko Congo au kutumika katika kuhamisha mali za mtu
ambae muda wake wa kuishi kitajiri umekwisha kwenda kwa mtu
mpya ambae anakuwa ameingia kwenye mkataba huu wa utajiri wa
kichawi.
Nitalizungumzia kwa kina suala hili katika makala zangu zijazo.
Kama
nilivyo dokeza hapo awali, msukule anaweza kuchukuliwa kama mtu
mzima, au sehemu ya mtu kama vile akili, nyota ya mtu, nguvu
za kiume, mbegu za uzazi kwa wanaume au mayai ya uzazi kwa
upande wa wanawake , jicho moja , macho yote mawili nakadhalika.
Msukule
huitwa jina tofauti kulingana na sehemu ya mwili wake iliyo
chukuliwa msukule. Kwa mfano, mtu aliye chukuliwa akili zake
huitwa ndondocha
Watu
wengi wanafahamu kuhusu watu kamili walio chukuliwa misukule
lakini hawajui kuhusu watu ambao wamechukuliwa nguvu za kiume.
NI NANI HAWA MISUKULE WA NGUVU ZA KIUME ?
Msukule wa nguvu za kiume ni mwanaume mwenye kusumbuliwa na maradhi ya nguvu za kiume yanayo tokana na kurogwa.
Msukule
wa nguvu za kiume ni mwanaume ambaye nguvu zake za kiume
zimechukuliwa na kufichwa kichawi kwa lengo la kutumikishwa
kama msukule.
Msukule
wa nguvu za kiume ni mwanaume ambae nguvu zake za kiume
zimetolewa kafara kwa ajili ya mali, biashara na utajiri wa
kifisadi ama utajiri wa kichawi.
AINA ZA MISUKULE WA NGUVU ZA KIUME
Misukule wa nguvu za kiume wapo wa aina kuu mbili :
AINA YA KWANZA
MISUKULE WA NGUVU ZA KIUME AMBAO WAO WENYEWE WAMEZITOA KAFARA NGUVU ZAO ZA KIUME.
Aina
hii ya misukule haijulikani na wengi lakini kiuhalisia wapo
wanaume wengi sana ambao wao wenyewe kwa ridhaa yao wenyewe
wameamua kutoa kafara nguvu zao za kiume kwa lengo la kupata
mali na utajiri.
Hapa
mwanaume anaenda kwa mganga kwa ajili ya kupata mali na
utajiri, anapewa sharti la kutoa nguvu zake za kiume ili awe
tajiri.
Mwanaume
huyo atatakiwa kutoa mbegu zake za kiume ambazo zitatengenezwa
kichawi na kutumika kama kafara ya mali na utajiri.
Kafara hii huwa ni kafara nzito sana !
Kwa
maana nyingine,mwanaume aliye ingia katika mkataba huu wa
kichawi, anakuwa ameingia mkataba wa kutoa watoto wake ambao
bado hawajazaliwa.
Mara
nyingi mkataba huu huwa ni kuwadumu yaani mwanaume huyo
atakuwa hivyo hivyo katika siku zote za maisha yake na huwa
na masharti mazito na inapo tokea mwanaume huyo akakiuka mojawapo
kati ya masharti atakayo pewa, adhabu yake huwa nzito.
Wanaume
walio katika kundi hili wao hawana shida kabisa na suala la
wao kutokuwa na nguvu za kiume kwa sababu tayari wanajua nini
chanzo cha tatizo lao.
Maelezo
kuhusu wanaume walio katika kundi hili ni marefu sana kiasi
siwezi kuyaelezea yote hapa, ila nina ahidi nitakapo pata muda
siku za mbeleni nitaelezea kwa kina.
MISUKULE WA NGUVU ZA KIUME AMBAO NGUVU ZAO ZIMECHUKULIWA KICHAWI BILA RIDHAA YAO WALA BILA KUJUA.
Idadi
kubwa ya misukule wa nguvu za kiume ipo kwenye kundi hili.
Hawa ni wanaume ambao nguvu zao za kiume zimeibwa ama
kuchukuliwa na kufichwa kichawi kwa ajili ya kutumikishwa
kichawi.
Ni wanaume ambao nguvu zao za kiume zimechukuliwa bila ridhaa yao .
Ni wanaume ambao nguvu zao za kiume zimechukuliwa bila wao kujua kama nguvu zao zimechukuliwa .
Wachawi
wana amini kuwa, njia bora na ya uhakika ya kuiba kichawi ama
kuchukua kitu cha mtu kichawi bila ridhaa yake ni kukichukua
kitu hicho bila mhusika kujua kama kitu chake kimechukuliwa.
Huamini
pia ili jambo hili liweze kufanikiwa ni lazima umbadilishie
mhusika na kitu kingine kinacho fanana na kitu ulicho kichukua
kutoka kwake ili mhusika asijue kama kitu chake kimechukuliwa.
Wakati
wanaume walio katika kundi la kwanza nguvu zao za kiume
wamezitoa kwa ridhaa yao wenyewe kwa ajili ya kupata mali,
fedha na utajiri wa kichawi, wanaume walio katika kundi hili
la pili, nguvu zao zimechukuliwa bila ridhaa yao wala bila wao
kujua na kama hiyo haitoshi watu wengine wananufaika nazo
bila wahusika kujua chochote kinacho endelea.
Wanaume
hawa ndio wanaume walio katika kundi baya zaidi kwa sababu
wao wanakuwa hawajui chochote kinacho endelea kuhusu nguvu zao.
Na kwa kuwa wanakuwa hawajui chanzo cha tatizo lao, basi hubaki kuhangaika na kuteseka katika maisha yao yote.
Mara
nyingi wanakuwa wana amini maradhi yao ya nguvu za kiume
yamesababishwa na mambo mbalimbali kama vile maradhi ya kisukari,
presha, ngiri, chango la uzazi nakadhalika, lakini kiukweli,
maradhi yao yanakuwa yamesababishwa na kurogwa. Nguvu zao
zinakuwa zimechukuliwa kwa ajili ya kutumikishwa kichawi.
NI KATIKA MAZINGIRA YAPI NGUVU ZA KIUME ZA MTU ZINAWEZA KUCHUKULIWA KICHAWI.
Nguvu za kiume huwa zinachukuliwa kichawi kupitia mbegu za kiume za mwanaume aliye kusudiwa.
Mbegu hizo zaweza kuwa zimetoka kwa kulazimishwa au zaweza kuwa zimetoka kwa ridhaa ya mwanaume husika.
Vile
vile mbegu hizo zaweza kuwa zimetoka bila mwanaume husika
kujua au bila kuwa na uweze wa kucontrol zisitoke .
Matumizi
na mahitaji ya mbegu za kiume yatategemea na namna ambavyo
mbegu hizo zimepatikana. Kila namna ina matumizi yake ingawa
zote hutumika katika matumizi mbalimbali ya kichawi.
MBEGU ZA KIUME AMBAZO ZIMETOKA KWA KULAZIMISHWA
Hizi
ni mbegu zinazo toka baada ya mwanaume kufanya punyeto. Wachawi
wanazihitaji sana mbegu za namna hii kwa ajili ya kufanya
mambo yao ya kichawi na moja kati ya matumizi ya mbegu hizi
ni katika ulozi wa mapenzi. Kumvuta mwanaume kimapenzi kwa
nguvu. Kijana unae jishughulisha na biashara hii nakushauri
uache mara moja.
MBEGU ZA KIUME AMBAZO ZIMETOKA KWA RIDHAA YA KE
Hizi ni mbegu zinazo toka baada ya mwanaume kufanya mapenzi na mwanamke.
MBEGU ZINAZO TOKA BILA MWANAUME KUJUA AU BILA KUWA NA UWEZO WA KUZI CONTROL
Hizi
ni mbegu zinazo toka pindi mwanaume anapokuwa anafanya mapenzi na
jinni mahaba usingizini. Wachawi wanazihitaji sana mbegu hizi
kwa ajili ya matumizi yao ya kichawi. Unashauriwa kutosema kwa
mwanamke ambae umelala nae kama umeota usiku unafanya mapenzi na
mwanamke halafu ukamwaga au umeamka asubuhi umekuta mbegu zimetoka
zenyewe.
NGUVU ZA ZINAWEZA KUCHUKULIWA VIPI KICHAWI?
Najua utakuwa unajiuliza na kushangaa, nguvu za kiume za mtu zinaweza kuchukuliwa vipi au katika mazingira yepi.
Nguvu
za kiume zinaweza kuchukuliwa katika namna , njia na mazingira
tofauti tofauti. Yafuatayo ni mazingira ambayo nguvu za kiume
zinaweza kuchukuliwa kichawi.
NGUVU ZAKO ZA KIUME ZINAWEZA KUCHUKULIWA KUPITIA MCHEPUKO WAKO
Hii
hutokea mara nyingi sana na nnaweza kusema idadi kubwa ya
wanaume ambao nguvu zao zimechukuliwa kichawi ni kupitia
michepuko yao.
Kinacho
tokea hapa sio kwamba mchepuko wako ndio ana zifunga nguvu
zako, la hasha isipokuwa mchepuko anakuwa ameenda kwa wachawi
kuomba ndumba za kukufunga kimapenzi na kukutuliza au / na
ndumba za kukufanya ukienda kutembea na mwanamke mwingine
usisimame. Yeye lengo lake linakuwa ni zuri lakini katika
mchakato wa lengo lake hilo linaweza kutokea suala la kufunga
nguvu zako.
Mganga atamwambia huyo mchepuko wako, NENDA KALETE MBEGU AMA SHAHAWA ZA HUYO MWANAUME ULIYE KUJA KUMREKEBISHA.
Mbegu zako za kiume atazichukua katika mazingira yafuatayo :
Mosi
: Kama huwa mnafanya tendo la ndoa bila kinga, ukisha kojoa
atajifuta na kitambaa maalumu atakacho pewa kisha atakipeleka
kwa mtaalamu.
Pili
: kama huwa mnatumia kinga, ataomba akufute na kitambaa
kwenye uume wako mara baada ya kumaliza kufanya tendo.
Au
kama ataona utamstukia anaweza hata asihangaike kukufuta nazo
ila atakacho kifanya ataenda kumwaga chooni au kwenye dustbin ,
dawa maalumu ya kichawi ambayo atakuwa amepewa na mganga.
Kumwaga dawa kwenye dustbin au chooni kutategemea na wewe kondomu yako umeitupa wapi baada ya tendo.
Kama
uliitupa kwenye dustbin basi, hiyo dawa ataimwaga kwenye dustbin.
Atakutegea umeenda bafuni au chooni, basi atamwaga dawa hiyo
kwenye dustibin
Na kama kondom yako iliyo tumika utaenda kuitupa chooni basi dawa hiyo ya kichawi itaenda kutupwa chooni pia.
Dawa
hiyo ni dawa ya kijini ambayo kazi yake ni kuchukua mbegu
zilizotupwa jalalani au chooni na kuzipeleka kwa wachawi kwa
ajili ya matumizi mbalimbali ya kichawi.
Dawa
hii inayo tupwa chooni au kwenye dustbin huwa inatupwa kwa
lengo la kwanza kwenda kuzikomboa shahawa ambazo zimetupwa
kwenye dustbin au chooni kutoka kwa majini wa jalalani na
chooni kisha kuzipeleka mahali zilipo kusudiwa.
Hii
ni kwa sababu, chooni na kwenye dustbin pia kuna majini wachafu .
Ukitupa mbegu zako chooni au kwenye dustbin maana yake ni
kwamba unakuwa umefungamanisha nyota yako na majini wachafu wa
chooni au jalalani.
Ni
nuksi kubwa sana kutupa kondomu iliyo tumika chooni au jalalani
au kwenye dustbin, kwani majini wa maeneo hayo watakuingia
kupitia mbegu zako na watajifungamanisha na nyota yako na nafsi
yako.
Dalili
utaanza kuziona kupitia kwenye udhaifu wa nguvu zako zap
kiume ambao utaendana na kufifia kwa nyota yako kwa kasi ya
ajabu.
Mambo
yako yote yatakuwa machafu kama choo au jalala. Kuanzia kazi,
biashara,mahusiano, afya yako ikiwemo nguvu zako za kiume.
Mchepuko
wako akisha zipeleka mbegu zako kwa mganga, mganga ataziweka
kwenye chungu au kibuyu maalumu , zitapikwa pamoja na dawa
maalumu za kichawi kwa ajili ya kuzipima au kupima nyota yako
kupitia mbegu zako.
Mganga
akigundua nyota ya mwanaume husika ipo juu basi atazichukua
mbegu hizo haraka sana na kuzitengeneza kichawi kwa ajili ya
ima kuwauzia wachawi ama wafanya biashara wanaonunua misukule
ya nguvu za kiume kwa ajili shughuli zao mbalimbali ima
kukutengeneza ndondocha.
Kwenye
kumtengeneza ndondocha mwanaume kwa kutumia mbegu zake za
kiume huwa inakuwa hivi, huyo mwanamke akisha zichukua mbegu
hizo na kuzipeleka kwa mganga, inafanywa kafara maalumu ya
mnyama, halafu hizo mbegu zinapikwa na dawa maalumu za kichawi
halafu huyo mwanamke anachanjiwa kwenye pande kuu saba za mwili
wake.
Ni
uchawi mzito sana huu. Matokeo yake ni kumfanya mwanaume huyo
kuwa ndondocha na zezeta kwa mwanamke huyo. Pesa zote anazo
zipata mwanaume huyo anakuwa anazipeleka kwa mwanamke aliye
tengeneza uchawi huo.
Mbegu
za kiume za mwanaume zinaweza kuchanganywa na dawa maalumu za
kichawi, akalishwa kinyonga na kuunguzwa mzima mzima, halafu
mwanaume huyo akailishwa dawa hiyo huku lengo likiwa ni
kumtenganisha na familia yake na kuwa anawageuka na
kuwabadilikia kama kinyonga.
Njia
nyingine mbegu zako za kiume zinaweza kuchukuliwa kwa njia ya
jini mahaba. Unaota usiku unafanya mapenzi na jini mahaba hadi
unafika kileleni, kumbe lengo lilikuwa ni kuchukua mbegu zako za
kiume.
Njia
nyingine mbegu zako za kiume zinaweza kuchukuliwa kwa njia ya
kufanya mapenzi na mwanamke mchawi ambae anataka kuiba nyota
yako au kuchukua msukule nguvu zako.
Mwanamke
huyu ataingia nyumbani kwako usiku wa manane kichawi na kufanya
nawe mapenzi kwa lengo la kuchukua mbegu zako.
Wakati
mwingine inaweza kutokea umeota usiku unafanya mapenzi na
mwanamke unaye mfahamu au usie mfahamu hadi kufika kileleni.
Ukiota ndoto hii jua unachezewa mchezo huu mchafu.
Wakati mwingine mbegu zako zinaweza kuchukuliwa kwa njia ya kufanya mapenzi kichawi na tunge la kike.
Tunge
la kike litakuja kichawi hadi nyumbani kwako na kufanya
mapenzi na wewe. Litapata ujauzito wako halafu mtoto atazaliwa.
Huyu mtoto atakae zaliwa ndo atakae enda kutumika kama ndondocha
kwenye biashara mbalimbali kama vile maduka nakadhailka.
Njia hii ndio inayo tumiwa sana na wachawi na wanaume wengi wameumizwa kupitia njia hii.
Njia
nyingine ni pale nguvu za kiume zinapo chukuliwa wakati mtoto
akingali mchanga. Njia ni hatari sana na ndio maana
inashauriwa mama mjamzito kuwa makini na mwangalifu sana katika
siku kumi na nne za mwanzo baada ya kujifungua mtoto wa kiume.
Ni
katika kipindi hicho cha siku kumi na nne zap mwanzo ambazo
wachawi huzitumia kutafuta kuiba nyota ya mtoto huyo wa kiume
kupitia nguvu zake za kiume.
Nyota
hii huwa inaibwa kupitia nguvu zake za kiume na huwa
zinachukuliwa kupitia kitovu chake. Ndo maana unatakiwa kuwa
makini sana na kitovu cha mtoto wako wa kiume kisiangukie
uume wake wakati kinadondoka.
Katika
kupambana na mtihani huu baadhi ya wazazi huwa wanavikata
wenyewe vitovu vya watoto wao wa kiume na huwa wanatumia
mafuta ya nazi, nyoya la kuku na dawa maalumu za jadi.
Narudia kwa mara nyingine tena unapaswa kuwa makini sana katika kipindi hiki.
Wachawi kupitia taaluma yao ya kichawi wanaweza kubaini nyota ya mtoto na kujua atakuja kuwa nani .
Ii
kuzuia mtoto huyo asije kuwa vile alivyo pangiwa na Mwenyezi
Mungu, wachawi hulazimika kuiba nyota ya mtoto husika na kuiuza
kwa watu wengine na moja kati ya njia kuu wanazo weza kutumia
katika kufanikisha nia yake ovu ni kuiba nguvu za kiume za
mtoto huyo kwa njia za kichawi.
Pia
wanaume wengine nguvu zao zimechukuliwa tangu wakiwa tumboni
mwa mama zao. Wachawi wanaamini ya kwamba, ukitaka kukuiua kitu
basi kiue kabla hakijazaliwa. Hapo ndipo linapo kuja suala la
kuiba nguvu za watoto wa kiume tangu wakiwa tumboni mwa mama
zao.
Ukitaka
kujua kama mtoto wako nguvu zake zimeibwa tangu akiwa tumboni
ishara ya kwanza ni pindi kitovu cha mtoto huyo kinapo
mdondokea kwenye uume wake.
Vilevile
Mbegu zako za kiume zinaweza kuchukuliwa kupitia kujichua..
Mbegu za mwanaume zinazo toka wakati wa kujichua hujulikana
katika ulimwengu wa waganga kama MBEGU ZILIZO TOKA KWA
KULAZIMISHWA.
Haijalishi
unapo fanya punyeto unafuta kwenye karatasi, gazeti, kitambaa au
unaacha zidondoke kwenye sakafu ya bafuni na kumwagia maji
lakini jua, wachawi kwa kushirikiana na majini huwa wanachukua
mbegu za kiume zinazo toka baada ya kujichua..
Kama
huwa unajichua usiku chumbani kwako kitandani, asubuhi baada ya
kuamka au bafuni ama chooni , basi jua wachawi huchukua mbegu
zako na kuzitumia kwenye mambo yao ya kichawi.
MAMBO AU TABIA ZINAZO WEZA KUFANYA MBEGU ZAKO ZA KIUME ZICHUKULIWE NA WACHAWI.
Yafuatayo ni mambo yanayo weza kusababisha mbegu zako za kiume zichukuliwe.
i. Kufanya mapenzi na wanawake wanao uza miili yao “ HUKO HUWA ZINACHUKULIWA SANA “
ii.
Kuwa na michepuko. Mwanaume fahamu unapokuwa na michepuko
unakuwa unakaribisha nafasi ya wewe kufanyiwa ulozi wa
kimapenzi. Hii ni kwa sababu michepuko wengi huwa wanatumia uchawi
kuwatuliza wanaume wanao tembea nao. Sasa ikitokea bahati mbaya
mchepuko wako katika kutafuta ndumba za kukutuliza, akakutana na
wachawi wanao tumia mbegu za kiume katika shughuli zao basi
ndugu yangu jua umekwisha.
iii.Kutupa kondom kwenye dustbin au chooni mara baada ya kufanya tendo la ndoa.
iv.Kufanya
punyeto “ WANAO FANYA SHUGHULI HII NAWAHURUMIA SANA KWANI NI
MOJA KATI YA WAHANGA WAKUU WA UCHAWI HUU HUKU WAO WAKIAMINI
KUWA SHIDA YAO IMESABABISHWA NA PUNYETO.
v.Wanaume
walio lelewa na mama za kambo ambao ni washirikina. Wanaume
wengi ambao nimewatibu tatizo hili wametoka katika familia
walizo lelewa na mama wa kambo.
Hii
mara nyingi hutokea pindi mama wa kambo anapokuwa haja
bahatika kupata watoto wa kiume,au hajabahatika kupata watoto
halafu baba ana mali nyingi.
Akisukumwa
na hofu ya kukosa mali ya mumewe mwanamke huyu anaweza
kushawishika kwenda kwa waganga kuwadhibiti watoto wake wa kambo
wa kiume. Mganga ataomba nguo za ndani za watoto hawa au mkojo
au nguo iliyo kojolewa au atampa dawa ya kuwalisha kwenye
chakula au kuwatega.
Kama
watoto ni wakubwa mama huyu anaweza kushirikiana na binti
ambapo binti atajilengesha kwa kijana aliye kusudiwa wataanzisha
uhusiano wa kimapenzi na kisha kutumia fursa hiyo kupata mbegu
za kiume za mwanaume husika. HATA HIVYO HII HAIMAANISHI KUWA
AKINA MAMA WA KAMBO WOTE NI WABAYA. JAMBO HILI HUTOKEA KWA BAADHI
YA AKINA MAMA WA KAMBO NA SIO WOTE. WAPO AKINA MAMA WA KAMBO
AMBAO NI WAZURI KULIKO HATA MAMA WAZAZI.
vi. Kugombana ama kuachana na mchumba au mke . Mke anaweza kwenda kukutengeneza ili kukukomoa.
vii.
Kuoa mwanamke mshirikina. Katika kutafuta ndumba zap kukutuliza
anaweza kukutana na suala la kutakiwa apeleke mbegu zako.
viii.
Wakati mwingine unaweza kufanyiwa hivi kwa sababu una maisha
mazuri. Mtu anakufanyia uchawi huu kwa lengo la kuchukua nyota
yako na kwenda kuitumikisha kama msukule wa biashara mali na
utajiri.
ix. Kukataa mtoto
x. Kufuta uchumba na kuoa mwanamke mwingine
xi. Kutembea na mke wa mtu
xii. Kugombea mpenzi au mchumba.
Mtu anaweza kukuroga nguvu zap kiume ili kukukomoa, kwa mfano
Porini kuna mti unatoa vitunda vidogo vyenye rangi mbili nyeusi na nyekundu.
Mti huu huwa ni dawa ya maradhi ya mgolo ama bawaziri
Una
majani matamu kama sukari ambayo wakati wa njaa huweza
kutumika kutengenezea chai na pia huweza kutumika kutengeneza
chai kwa watu wenye kusumbuliwa na maradhi ya kisukari.
Vipande
saba vya mti huu vinachukuliwa halafu wanachukuliwa wanyama wa
aina tatu tofauti wafugwao wanachinjwa kisha damu yao
inachanganywa pamoja na dawa zitokanazo na miti ya porini aina
saba halafu vinaenda kupikwa porini kisha zinafungwa kwenye
chombo maalumu na kuzikwa kwenye makaburi saba tofauti kwa
muda wa siku saba saba na njia panda saba tofauti tofauti
kwa muda wa siku saba kisha zinazikwa kwenye milima miwili
tofauti kwa muda wa siku saba.
Baada
ya hapo, linachukuliwa bawa la ndege mmoja wa porini. Huyu
ndege anatumiwa sana na wachawi “ NDEGE HUYU SIO BUNDI WALA
SULULI WALA MKATA SANDA’.
Ndege
huyu ana sifa moja kubwa katika ulimwengu wa wachawi. Nayo
ni kwamba, ukichukua nyoya lake ukaliweka kwenye mto wa kwenye
kitanda alicholalia mgonjwa, basi mgonjwa huyo hatopona bali
atakufa na kama utaliweka chini ya mto alio lalia mtoto
mchanga basi mtoto huyo atadumaa, hatokua.
Bawa la ndege huyu ndio linatumika kama kalamu ya kuandikia majina ya mkusudiwa pamoja na manuizo.
Majina na manuizo yakiisha kuandikwa, miti hiyo saba inaenda kutupwa barabarani kwenye barabara saba tofauti.
Miti hiyo ikigongwa na gari tu basi na mwanaume aliye kusudiwa anaanza kuugua maradhi ya nguvu za kiume.
Maradhi
huanza taratibu na baadae huhitimu na kuwa sugu ambapo
mhusika anaweza kufikia hatua ya kuwa hanithi kabisa.
KWANINI WACHAWI HUZICHUKUA MSUKULE NGUVU ZA KIUME
Kama
nilivyo sema hapo awali wachawi huchukua kichawi nguvu za
kiume kwa ajili ya kwenda kuzitumikisha kama misukule kwenye
biashara, mali na utajiri.
KUNA UHUSIANO GANI KATI YA NGUVU ZA KIUME NA DAWA ZA UTAJIRI MALI NA BIASHARA ?
Najua lazima utakuwa umejiuliza swai hili, yafuatayo ni majibu ya swali hili.
Nguvu za kiume zina uhusiano mkubwa sana na damu. Nguvu za kiume ni damu na damu ndio nguvu za kiume.
Damu
ndio uhai wa mwanadamu. Damu ndio roho ya mwanadamu na roho ya
mwanadamu ndio damu. Damu huishi ndani ya roho ya mwanadamu na
roho ya mwanadamu huishi ndani ya damu ya mwanadamu.
Roho
ya mwanadamu hubeba akili na nafsi. Na nafsi ya mwanadamu
hubeba nyota ya mwanadamu. Nafsi ya mwanadamu hubeba akili ya
mwanadamu . Hisia za mwanadamu, Silka za mwanadamu, Hulka za
mwanadamu na utashi wa mwanadamu.
Uanaume
au unamke ni nafsi anayo zaliwa nayo mwanadamu. Nguvu za kiume
ndio nafsi ya kwanza ya mwanaume. Hiyo ndio inayo mfanya awe
mwanaume au ajione mwanaume.
Unapo
chukua nyota ya mwanaume ambayo ndio nafsi ya mwanaume ambayo
ndani yake ipo akili ya mwanaume ambayo ndio nguvu za kiume za
mwanaume unakuwa umechukua nafsi ya mwanaume huyo ambayo ndio
nyota yake.
Nguvu za kiume ndio chanzo cha uhai wa mwanadamu.
Nguvu zap kiume za mwanaume zinasimama badala ya nafsi ya mwanaume.
Unaposema
fulani ni damu yangu maana yake ni kwamba fulani ni roho yako
ambae amekuja duniani kupitia nguvu za kiume.
Katika ulimwengu wa waganga na wachawi, nguvu za kiume ni kielelezo cha uhai wa mwanaume husika.
Nguvu za kiume ni kielelezo cha ukamilifu wa mwanaume.
Hivyo
wachawi wanapo chukua nguvu za kiume za mtu kwa lengo la
kuzitumikisha kichawi,hufanya hivyo wakiwa wanajua wanacho kifanya.
UFANYE NINI KUEPUKA NGUVU ZAKO KUCHUKULIWA MSUKULE
Kitu
kikubwa cha kufanya ni kuhakikisha unakuwa na kinga kubwa ambayo
itawafanya wachawi wasiwe na uwezo wa kuchukua nguvu zako
msukule.
Vile
vile unatakiwa kujiepusha na tabia hatarishi ambazo nimezieleza
hapo juu. Tabia hizo ni tabia zitakazo kuweka katika hatari
kubwa ya nguvu zako kuchukuliwa kichawi.
UTAJUAJE KUWA NGUVU ZAKO ZA KIUME ZIMECHUKULIWA KICHAWI
Endapo
utaonyesha dalili zifuatazo basi jua tatizo lako la nguvu za
kiume limechukuliwa kichawi au zipo kwenye mpango wa kuchukuliwa.
1.Ukiwa na mwanamke mmoja unakuwa na nguvu lakini ukienda kwa wanawake wengine unakuwa hauna nguvu.
2.Umetumia tiba mbalimbali zap nguvu za kiume lakini huponi wala kupata nafuu yoyote.
3.Mpenzi, mchumba au mke wako anakudharau kwa sababu ya kutokuwa na nguvu za kiume.
4.Mpenzi wako anakukimbia kwa sababu hauna nguvu za kiume
5.Mpenzi au mke wako anatoka nje ya ndoa au mahusiano na mwanaume ambae unamzidi fedha na maisha kwa ujumla.
6.Umekuwa addicted na tabia ya kujichua na unashindwa kuacha.
7.Kuachana na kila mwanamke unayekuwa nae katika mahusiano
8.Kutodumu katika mahusiano
9.Kuwa na matatizo ya uzazi
10.
Kufanikiwa chini ya kiwango : Kwa sababu suala hili huwa
linaenda na kuchukuliwa nyota basi hata mafanikio unayo yapata
huwa yanakuwa chini ya kiwango.
11.Kutojiamini wakati wa tendo la ndoa. Unashindwa kujiamini kwa sababu unakuwa na wasiwasi na uanaume wako.
12. Kuishiwa nguvu zap kiume
13.Maumbile kunyauka na kusinyaa na kuwa kama ya mtoto
14. Maumivi wakati wa tendo la ndoa
15. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa
16.Maumivu ya mgongo
17.Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
18.Unaota unafanya mapenzi na mtu usie mjua NAKADHALIKA.
TIBA KWA MTU MWENYE MARADHI YA NGUVU ZA KIUME YANAYO TOKANA NA KUROGWA.
Kuwa
na maradhi ya nguvu za kiume yanayo tokana na kurogwa maana
yake ni kwamba ile sehemu ya kwenye nafsi na akili ya
mwanaume ambayo inahusika na utashi, hisia na maamuzi sahihi,
inakuwa imechukuliwa kichawi kwa lengo la kutumikishwa kichawi
na badala yake linawekwa jinni maalumu la kichawi ambalo sasa
ndio linasimama kama mbadala wa nafsi yako.
Jinni hili ndio litakalo kuwa lina control utashi , hisia na maamuzi yako.
Jinni
huyu mchafu anakuwa ameamrishwa na kuapishwa kwa damu kufanya
makazi yake katika nafasi yako. Anakuwa anautumia mwili wako kama
sehemu yake ya makazi. Maamuzi utakayo kuwa unaya fanya kwa
kiasi kikubwa yatakuwa na utashi na mapendeleo ya jinni huyu.
Jinni
huyu huwa na sifa zifuatazo : Kwanza hakujui vizuri, hajui
unapenda nini, hajui hupendi nini, hajui utashi wako ni nini
wala hajui hisia zako zipo wapi , yeye anacho jua ni kufuata
maelekezo aliyopewa ambayo ni kukaa ndani ya nafsi yako na ku ku
-control.
Kwa
kuwa jinni huyu hajui wewe unapenda kitu gani wala hajui
kuhusu utashi wako wala hisia zako zipo wapi, hata unapokuwa
katika mazingira ambayo kikawaida ulitakiwa kusisimkwa kimahaba
unajikuta unashindwa kusisimka. Hii ni kwa sababu unakuwa sio
wewe bali yeye.
Mfano
mzuri unakuta mwanaume katika siku zap nyuma akiwa faragha na
mke wake halafu mke wake akawa katika hali ya ufaragha, basi
mwanaume “ atakasirika “ kweli kweli na atafanya tendo la ndoa
vizuri kabisa.
Lakini
cha ajabu ghafla hali inaanza kuwa tofauti, upo na mkeo faragha
halafu jogoo anashindwa kuwika. Na wewe unadhani una stress au
labda una kisukari au ulifanyaga sana punyeto ulipokuwa shuleni
au una lehemu mbaya nakadhalika.
Sababu
ya kushindwa kwako ni hiyo, kuna roho chafu imekaa kwenye nafsi
yako, hiyo roho ndio inayo control hisia zako na utashi wako.
Haijui kama wewe ni mwanaume au mwanamke, haijui unapenda nini
haupendi nini, haijui hisia zako zipo wapi ndio maana unapokutana
na mke wako, unashindwa kufanya unacho takiwa kufanya.
Wakati
mwingine jinni huyu mbali na kutokukujua lakini pia anaweza
kuwa hapendi kabisa ngono ya aina yoyote ile iwe ni ngono
halali yani mke na mume au ngono haramu yani mwanaume na
mchepuko.
Hivyo
unapokuwa unataka kufanya tendo la ndoa, jinni huyu anakuwa
anakuzuia kwa kukata mawasiliano yako kwenye ubongo na
kukuondolea msisimko.
Hii
ni kwa sababu jinni huyu sasa ndio anaekumiliki kama chombo
chake na hawezi kukuacha mpaka siku unaondoka duniani au labda
itokee aondolewe kwa nguvu.
Tendo
la ndoa linakuwa linampa kero kubwa . Anakuwa hapendi kukuona
ukiwa unafanya tendo hilo, hivyo akiona unataka tu kufanya
anakuzuia kwa njia niliyo ieleza hapo juu, matokeo unaishia
kupoteza hamu ya tendo la ndoa na hata ikitokea umefanya
unafanya kwa muda mfupi na kumaliza na kushindwa kurudia kabisa
huku ukimuacha mwenzi wako akiwa bado hajapanda mlima.
Wakati mwingine jinni huyu anaweza kuwa jinni mahaba ambae anakuwa amefungishwa ndoa nawewe bila ridhaa yako.
Jinni
huyu atakuwa anafanya mapenzi na wewe na kumaliza nguvu zako
zote. Na kwa kuwa jinni huyu atakuwa anakupenda na kuwa na wivu
na wewe ili kukuzia usiende nje basi atafunga nguvu zako za
kiume.
TIBA
YA TATIZO HILI NI KWANZA KUMUONDOA HUYU JINI, KUONDOA UCHAFU
AMBAO UMEPANDWA KWENYE MWILI WAKO, KUONDOA UUME WA KICHAWI
AMBAO UMEPANDWA KWENYE MWILI WAKO KAMA MBADALA WA UUME WAKO
ULIO CHUKULIWA NA KISHA KUKUSAFISHA HALAFU MWISHO KUKUPIKIA DAWA
MAALUMU AMBAYO ITARUDISHA NGUVU ZAKO NA KUKUFANYA UFURAHIE
MAISHA YAKO YA NDOA KAMA ZAMANI.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )