Baada ya klabu ya wekundu wa Msimbazi
Simba kufanya usajili kimya kimya na kwa usiri mkubwa, July 1 2016
walitangaza kocha wao mpya Mcameroon Joseph Omog na leo July 2 2016
wameamua kutangaza list ya wachezaji wao wote watakaowatumia katika
msimu wa 2016/2017.
Magolikipa:Foreign: Vincent De Paul Angban
Peter Manyika
Denis Deonis
Beki wa kulia:
Hamadi Juma: Coastal Union
Salum Kimenya: Prisons
Beki wa kushoto:
Mohamed Hussein
Abdi Banda
Mabeki wa kati:
Novaty Lufunga
Foreign: Juuko Murushid
Emmanuel Simwanza: Mwadui FC
Foreign: Janvier Besala Bokungu
Viungo:
Jonas Mkude
Awadh Juma
Foreign: Justice Majabvi
Saidi Ndemla
Mwinyi Kazimoto
Mzamiru Yassin: Mtibwa Sugar
Mohamed Ibrahim: Mtibwa Sugar
Foreign: Mussa Ndusha
Winga:
Peter Mwalyanzi
Jamal Mnyate – Mwadui FC
Shiza Kichuya – Mtibwa Sugar
Hassan Kabunda – MwaduiFC
Washambuliaji:
Ibrahim Hajibu
Daniel Lyanga
Haji Ugando
Mbaraka Yusuf – Kagera Sugar
Laudit Mavugo – Vital’O (Burundi)
Blagnon Goue Frederic: Africa Sports (Ivory Coast)
Ame Ali – Azam FC
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )