Yamoto band ni kundi la muziki wa bongo fleva lenye mashabiki wengi kutokana na nyimbo zao nzuri. Lakini pia mwanadada Ruby ni mmoja kati ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri katika game ya muziki kwa sasa. Yamoto na Ruby walifanya collabo inayoitwa ‘SU’
Baada ya kuachia audio ya hit song hiyo baadae wakaachia video ambayo mwanadada Ruby
hakuonekana bali tu alionekana msichana mwingine aliyevaa uhusika wake
kwenye video hiyo, suala ambalo lilizua mijadala mingi mitandaoni.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )