Nafahamu
mtu wangu wa nguvu unatamani kujua mengi zaidi kuhusu Rais wa Marekani
Barack Obama maisha yake baada ya kuondoka Ikulu (White House) au
madarakani, July 2 2016 CCN wameonesha video ya nyumba atakayoishi Rais
Obama baada ya kukabidhi madaraka January 2017 na kuondoka White House.
Kupitia kituo kikubwa cha TV Marekani na
Dunia nzima Rais Obama baada ya kustaafu ataendelea kuishi Washington
na atakuwa akiishi katika nyumba yenye vyumba 9, nyumba ambayo inatajwa
kuwa na thamani ya dola milioni 6.3 ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 13.
Icheki video ya nyumba yenyewe nimekuwekea hapa chini
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )