Diamond platnumz ameendelea kujiwekea record mpya katika kiwanda cha
music africa baada ya nyimbo yake mpya aliowashirikisha Psquare kupata
views laki 3 na zaidi ndani ya masaa 19 tangu itoke.
Diamond amevunja record yake mwenyewe alioiweka na nyimbo ya make me sing iliopata views laki 2 na zaidi ndani ya masaa 24.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )