Featured
Loading...

Exclusive: Izzo Bizness ameeleza alivyokutana na Abela Music


Mkali kutoka Bongoflevani Izzo Bizness ambaye kwa sasa anamake Headlines na brand yake mpya ya The Amazing ameelezea jinsi alivyokuta na mrembo aliyemshirikisha kwenye mdundo wake wa Dangerous Boy’ Abela Music ambaye makazi yake ni Marekani Ayo Tv imekuwekea exclusive hapa.
Mwanzo mimi na Abela tulikuwa tunachat kwenye social network na aliponiambia kuwa anaweza kuimba ndipo nilipomwambia producer wangu Duppy na Duppy akaniambia ili tumutestikabidi tumtumia beat aingize vocal zake, kiukweli anaweza na ndio maana nimefanya nae kazi’ Izzo Bizness

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top