Kwenye zile post ambazo zimepata likes nyingi na comment nyingi ni
pamoja na hii ya Jokate ambayo kapost kipande cha video ambacho
kinamuonyesha
Diamond Platnumz akifanya mazoezi ya kucheza ya wimbo wake mpya wa
Kidogo.

Kwenye kumbukumbu za wasichana ambao
Diamond anahusishwa kutoka nao ni pamoja na
Jokate ambaye kwa muda kidogo amekua akitajwa kutoka na
Alikiba.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )