Aliyekuwa mgombea urais CHADEMA Edward Lowassa amesema kipigo
walichopata CCM mwaka 2015 ndio kimewapanikisha na kuanza kufanya mambo
kwa fujo na kupiga marufuku mikutano ya vyama ambayo inaruhusiwa
kikatiba
Ametaka CHADEMA wasikate tamaa japokuwa wanafanyiwa mambo ili kuwa
frustrate ili wasifanye kazi na wadharaulike na hawawezi
kikatiba
kukubali.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
