Mhariri mtendaji wa gazeti la Mwananchi, Frank Sanga na
mwandishi wake, Elias Msuya wameitwa na polisi kuhojiwa kuhusu makala
iliyochapishwa na gazeti hilo kuhusu utendaji wa jeshi hilo.
Hiki ni kipande cha gazeti cha makala hiyo
Wakati Msuya alipigiwa simu jana na kuhojiwa leo asubuhi kuhusu
makala aliyoandika, Sanga ameitwa leo na tayari ameondoka ofisini kwake kwenda Kituo Kikuu cha Polisi kuitikia wito huo.
Makala hiyo ya uchambuzi yenye kichwa cha habari “Polisi na Hofu ya Watawala Kuondoka Madarakani”, ilichapishwa na gazeti hilo jana.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )