Akiongea na waandishi wa habari wiki hii, Mourinho amesema kuwa
‘Ibrahimovic ni mtu ni mcheshi sana kama humfahamu vizuri. Ukisikiliza na kusoma nukuu zake basi unaweza kudhani ni mtu mwenye majivuno makubwa
sana.’
“He’s a winner, he’s a goalscorer and he’s funny – he’s a funny guy,” amesema Mourinho.
Ameongeza kwa kusema, “But he’s just a funny guy. So, I would just say that. Funny, winner and goalscorer. I was so happy to get him, and obviously, he’s happy to work for me now.”
Mourinho alifanikiwa kumfundisha Ibrahimovic kwa mara ya kwanza walipokutana kwenye timu ya Inter Milan mwaka 2008 na sasa wamepata bahati ya kukutana tena kwenye timu ya Manchester United
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )