Alipoulizwa kwa nini alisimama jirani Na Dr.Tulia Naibu spika, kwa nini
asingesimama mbali....amesema Rais Mwenyewe ndio alimwita kuwa njoo usimame hapa....Na yeye sababu ameitwa Na Rais/Mfalme wa nchi alikuwa hana namna sababu Yule ndio Raisi wetu Na ile ni nafasi pekee.
Kuhusu ugomvi Na Magufuli.... amesema wao (UKAWA) hawana ugomvi
Na Rais Magufuli.....ila wanaugomvi Na taasisi ya Urais.
My take.....
Siasa za Upinzani wa Tanzania ni zaidi ya Maigizo.!
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )