Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichopo
karibu na mwanaume huyo kilieleza kuwa, wawili hao wapo kwenye mipango lukuki ya kufunga pingu za maisha na mwanzoni mwa wiki hii Chid alifunga safari hadi ukweni mkoani Dodoma kutoa mahari ambayo haikufahamika ni kiasi gani cha fedha.
Baada ya kuunasa ubuyu huo, shushushu wetu alitafuta ‘kontakti’ za msanii huyo aliyewahi kujizolea umaarufu na Filamu ya Chausiku,
alipoulizwa alionesha mshktuko na kuangua kicheko;
“Khaa! Huo ubuyu kiboko, hakuna kitu kama hicho jamani, mimi yule ni mtu wangu wa karibu tu isitoshe kwetu siyo Dodoma, watu bwana!”
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )