Featured
Loading...

Picha: Mr T-Touch afungua studio zake ‘Touchez Sound’

Producer aliyetengeneza hits kibao, Mr T –Touch amefungua studio zake mwenyewe.
13732069_154596038281078_1207408159_n
Studio zake zinajulikana kwa jina la Touchez Sound.
13736136_1027734437295098_733240745_n
Awali alikuwa akifanya kazi kwenye studio za Free Nation zinazomilikiwa na Nay wa Mitego. Touch ametayarisha asilimia kubwa ya nyimbo za Nay na kuondoka kwake Free Nation kutakuwa pigo kubwa kwa rapper huyo.
Haijulikani kama wawili hao wameachana kwa amani na kama Nay ataendelea kufanya naye kazi.
Tazama picha zaidi za studio hizo.
13768229_1381302775218141_1738427263_n
13707218_1313239778703967_522128584_n
13707307_1076392555763703_1294421868_n
13743635_1573186266310923_1035653596_n



Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top