Featured
Loading...

TID NA BILLNAS KINAZIDI KUNUKA KAMA …………


tid (1)

Wakati TID ampasukia Billnas kwa kusema hataki kusikia lolote kuhusu lolote juhusiana au kutoka kwa Billnas, mambo yamekuwa tofauti upande wa pili.

billnas

Billnas ambae ni rapper aliekinukisha kwenye ngoma ya Chafu Pozi amesema pamoja na yote yanayosemwa yeye babdo anampenda TID kama kaka yake.

tid

“Kuna vitu vingi sana ila mimi sitaki kuzungumza sana, ninachoweza kusema ni kuwa nampenda TID na namheshimu,” alisema rapper huyo.


Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top