Msanii wa kike kutoka nchini anaeipeperusha vizuri bendera kwa kufanya muziki mzuri nje na ndani ya nchi, Vanessa Mdee ameongelea ngoma yake inayokuja baada ya Niroge.
Vanessa amesema anaamini ngoma yake
inayokuja itabadilisha uwepo wake kwenye gemu kutokana na wimbo huo kuwa
mkali zaidi kuluiko zote alizowahi kuimba.
“But
I am so happy leo hii I can speak of watu hawa ambao nilikuwa
nawatizama na waadmire kwenye muziki na wananiona kama mimi ni mwenzao.
Don Jazzy ananiuliza mawazo yangu mimi? so big things are coming,”
amesema Vee Money.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )