Wafamasia katika Chuo Kikuu cha Muhimbili wamedai kuthibitisha kisayansi
kuwa 'Supu ya Pweza' inaweza kuchochea hamu ya kufanya mapenzi kwa
wanaume. "Sio kitu cha imani tena, sasa hivi tuna ushahidi wa awali
unaotupa mwanga wa matumaini kuthibitisha matokeo hayo katika mwili wa
binadamu," amesema Profesa Eliangiringa Kaale.
Nini maoni yako?
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )