Jamani
mambo ya bodi kwa tuliopitia kuna raha zake na huzuni zake,huyu
msichana atakumbuka hili tukio maisha yake yote jamani.Lakini ndio ladha
ya shule hiyo jamani.Wasichana wenzake wamegundua kwamba anatoka na
mvulana wao ,wao walichokifanya ni kumchukua yule msichana na kumfanyia
kipigo cha maana. TAZAMA VIDEO HAPO CHINI MPAKA MWISHO UONE NIMEKUWEKEA LIVE.