Weekend hii nimeona ni vyema tuzungumzie kidogo
kuhusu masualaya mahusiano pia kutokana na sekta hiyo kuwa na umuhimu wake pia
katika maisha ya mwanadamu.
Katika masuala haya ya mapenzi nimeona ni vyema niaanze
kuongea na wanawake kuhusu namna ya kuweza kufanikisha kummaliza mwanaume
katika sita kwa sita.
Jambo la kwanza wanamke unapaswa kuwa jasari na
mwenye kuamini katika kile unachofanya katika mapenzi, ambapo wewe mwanamke unatakiwa
mkishafika katika uwanja wenu wa zoezi husika katika sikiu hiyo, Hakikisha unajitahidi
wewe kuanza kumvua nguo mwanaume, huku ukimshika baadhi ya sehemu mbalimbali za
mwili wake ambazo unaamini zitamsababishia msisimko mkubwa.
Baada ya zoezi hilo nawe pia (mwanamke)unaweza kutoa
nguo zako kisha mkumbatie mmeo , huku mkigusanisha ngozi za miili yenu. Tambua
ya kwamba ngozi huwa na mishipa midogo midogo yenye ufahamu ambayo hutoa
taarifa mbalimbali za mwili kwenye ubongo, hivyo kitendo cha miili yenu kugusana
huchangia kuibua hisia za kimapenzi zaidi.
Unapoona tayari mwanaume yupo tayari katika hali ya
hisia kali za kimapenzi kabla ya kumruhusu akuingilie unaweza kuendelea
kumshika baadhi ya sehemu za mwili mfano ndevu, sehemu zake za siri na mkune
kwenye viganja vyake na mapaja na nk.
Fahamu ya kwamba mapaja ya mwanaume huwa na hisia
kali, hivyo unaweza kuyashika zaidi kwa ustadi mkubwa, huku ukitumia vidole
vyako na utaona akisisimka zaidi.
Sehemu nyingine ambayo itakusaidia wewe mwanamke
kuweza kumsisimua vizuri mwanaume ni kwa kumshika maeneo ya kifuani kuelekea
tumboni maeneo hayo huwa na msisimko mkubwa kwa wanaume walio wengi.
Eneo jingine lenye hazina kubwa na ya msisimko wa
mapenzi kwa wanaume ni sehemu ya uume ambapo mwanamke huweza kushika ile sehemu
ya mbele (kichwa cha uume) ambapo humfanya mwanaume kupata msisimko wa
kimapenzi kwa haraka zaidi.
Uwapo katikati ya tendo hakikisha unkuwa serious na
zoezi hilo, huku ukijitahidi kuepuka kucheka kwa jambo lolote lile hata pale
mwenzi wako anapotoa sauti za kufurahisha wakati wa katikati ya tendo.
Pamoja na hayo, mwanamke uwapo katikati tendo hilo
na mwenzi wako jitahii sana kujiachia maungo yako kwa mmeo, kwani kwenye tendo
hilo la ndoa huwa hakuna uheshimiwa hivyo ni vyema ukajiachia.
Katika tendo la ndoa pia sauti na maneno ya kimahaba ni muhimu sana wakati wa tendo la
ndoa kwani huongeza hamasa katika tendo hilo.
Baada ya kumaliza tendo hilo kumbuka kusema asante
na mpe pole mwenzi wako kwa kazi pevu, kisha chukuwa kitambaa na mkaushe
kijasho cha utamu wa penzi kwa taulo uliloandaa maalum.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )