"Nimeona comments nyingi kuhusu rasta nilizoweka lakini naomba watu
waelewe kwamba haikuwa style yangu na wala sina mpango wa kufuga rasta
nitabaki na style yangu moja tu maana nimeona jinsi nilivyowakwaza
mashabiki wangu."- Raymond
Nini maoni yako?
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )