Habari
yako Vio, mimi nasumbuliwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri na
ninavimba hii sehemu ya kukojolea na nashindwa kuelewa nifanye nini
dada yangu,,kwani ninawashwa mpaka natoa majimaji na ute visivyokuwa na
harufu na nilishaenda kwa dr akaniambia ni ugonjwa unaotibika akanipa
dawa nikazitumia bikaa muda ila tatizo limejirudia tena na nakosa amani
sijui nifanyaje mwenzako nisaidie
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )