Baada ya kusajiliwa na Manchester United kutoka Juventus ya Italia kwa
ada ya paundi milioni 89 kwa mkataba wa miaka mitano, Paul Pogba,
amekabidhiwa jezi namba 6 ambayo pia alikuwa akivaa zamani alipokuwa
Juventus kabla ya kupewa jezi namba 10. Tazama picha za staa huyo akiwa
na uzi wa Man United.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )