Featured
Loading...

Utapenda alichojibu Wema kuhusiana na katuni hii aliyochorwa na mastaa wengine wenye uhusiano na mastaa wanaowazidi umri




Hakuna jibu zuri la jambo la mzaha kama lenye mzaha pia.
e957db1b-7190-4364-9344-ee4c757ec319
Hivi karibuni gazeti moja la udaku liliwachora mastaa wa kike wenye uhusiano na mastaa wa Bongo wanaowazidi umri. Mastaa hao ni pamoja na Jacqueline Wolper aliyechorwa akimnywesha uji mpenzi wa Harmonize anayeonekana akiwa amebeba mdoli.
Wengine ni Wema Sepetu akiwa amempakata Idris Sultan, Zari the Bosslady akimweka Diamond kwenye kitolori cha kuwafundishia watoto kucheza na Aunty Ezekiel akiwa amembeba mgongoni mpenzi wake Mose...

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top