Featured
Loading...

[VIDEO]TAZAMA KITAKACHOTOKEA KWENYE MWILI WAKO BAADA YA KULA NYAMA YA NGURUWE,TAZAMA VIDEO HAPA CHINI,USIJE KUJUTA UZEENI.


Dini nyingine zinazuia kabisa matumizi ya kula nyama ya  nguruwe.Nguruwe wanakula vitu ambavyo ukiviangalia unaweza kutapika kabisa,kama mkojo,vinyesi na vyakula vilivyo oza kabisa.Kwa hiyo sumu zinazo ingia kwenye mwili wa nguruwe haziwezi kutoka kirahisi kwa hiyo zinabaki kwenye nyama zake.
 
Yersinia enterocolitica  ni kiumbe kibaya saba na cha hatari kinachopatikana kwenye mwili wa nguruwe.Kinasababisha ugonjwa,homa kali,kuharisha,kutapika na kuvimba tumbo .Na mdudu mwingine anaye anapatikana kwenye nguruwe ni Ractopamine anayeweza kusabaisha kifo cha ghafla kama kikiingiwa mwilini mwako.Kwa leo niishie hapo tutaendelea siku nyingine 
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI UONE MINYOO HIYO LIVE KABISA KABISA UONE KITUKO.
 

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top