Leo
katika kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na post za kijana
wa kiume ambazo zinamuhusu msanii Raymond wa wasafi,post za kijana huyo
ni tata kiasi kwamba nilishindwa kufahamu kijana huyo anauhusiano gani
na msanii huyo wa wasafi? Post
za huyo kijana ni hizi hapa kama zilivyopostiwa na Huyo kijana maana
inaonyesha wanafahamiana! Haijajulikana kama ni kweli au huyu kijana
shoga anatafuta kiki mjini
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )