Nilikua mwajiriwa
katika kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika kuajiriwa kwangu huko
nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile , basi siku moja moja nilikuwa
naenda kujirusha na bosi wangu .
Ukizingatia kwamba
sikuwa na mume wala mchumba na kwa kweli huyu bosi ndio alikuwa mtu wa kwanza
kufanya nae tendo la ndoa , hivyo nilifurahia mhemko wake na jinsi alivyokuwa
ananipenda na kunijali kila kitu nilipata na zaidi .
Alifanya yote haya
bila kunificha kwamba ana mke na watoto nyumbani kwake kwahiyo wakati mwingine
chochote kinaweza kutokea nijiandae kwa shuguli hiyo pevu kama mke wake
akishitukia dili hilo .
Tulikuwa na
uhusiano na huyu bosi kwa miezi 4 hivi mpaka siku moja katika tembea tembea mitaani
nikakutana na kijana mmoja mtanashati akanieleza kwamba ananipenda na kunizimia
sana yaani ameshanifia
Huyu kijana
alihangaika kwa mwezi mzima mpaka siku nikaja kumkubalia akawa ndio mpenzii
wangu halali sasa , nilimwamini sana nay eye aliniamini sana , miezi 3 tokea
kujuana na huyu kijana aliniambia kuhusu kufanya nae tendo la ndoa .
Nilifikiria sana
wakati mwingine nilitaka kulia jinsi alivyokuwa ananishika na kuniomba tendo la
ndoa akiwa chumbani kwangu , alijaribu kunishika sehemu kadhaa akanivua nguo
nami nilimtolea nje nilimkatalia .
Basi siku moja
nikamwomba tukaangalie afya zetu , kijana wa watu alikasirika sana wiki nzima
hakufika nyumbani kwangu wala kunipigia simu , kumbe alitaka tufanye tendo la
ndoa bila kinga ? sasa ningejuaje kuhusu afya yake ? au ananiamini nini mimi ?
Maisha yaliendelea
na mambo mengine yaliendelea tu wiki ya 3 alinipigia simu akaniomba msamaha
turudiane na alikubali kwenda na mimi kupata vipimo vya afya zetu kujua kwanza
kabla hatujaanza mambo mengine yoyote yale .
Basi ndio hivyo
majibu yaliyoka mazuri , ndio mapenzi yetu alikuwa zaidi na penzi nilimpa bila
hiyana wala aibu yoyote , yeye mwenyewe alifurahia mambo yangu na kwanza
alikuwa anatoroka nyumbani kwao kuja kulala kwangu wakati mwingine mwezi mzima
.
Tuliendelea kwa
miezi kadha na huyu kijana huku na mimi nikiwa na bosi wangu kule kazini , basi
bwana siku moja , sisi officini tulitakiwa kwenda kutoa damu hospitali ya
muhimbili katika maadhimisho ya siku ya afya duniani . Watu walipimwa afya zao
na mimi nilipimwa , majibu yangu yalikuwa ya kutatanisha sikuamini macho yangu
wala masikio yangu , nilienda hospitali ingine napo majibu yalikuwa yale yale
kwamba nimeadhirika na UKIMWI .
Haya majibu
yalimfikia mpaka bosi wangu nae akatambua hilo akasikitika sana nay eye
alivyoenda kupimwa akakutwa hajaadhirika , basi nikajua moja kwa moja ukimwi
nimepata kutoka kwa yule kijana wa mitaani na sio mtu mwingine .
Nikamwomba huyu
kijana tukaangalie afya zetu kwa mara ingine tena hospitali , tukaenda kule
kupima afya zetu , yeye ndio alikuwa wa kwanza kupokea majibu yake , alikutwa
ameadhirika akupata mshituko wa ghafla yaani haamini .
Mshituko huo
ulimpelekea aanguke chini na kuzimia watu walienda kumbeba na kumpeleka
hospitali kupatiwa huduma ya kwanza basi hapo ndio magonjwa mengine yalianza
kujitokeza na kujulikana sana .
Kumbe huyu kijana
alikuwa na urafiki wa kimapenzi na shugamami mmoja mtaa wa pili huyu shuga mami
mume wake alifariki dunia miaka 5 iliyopita kwa UKIMWI watu wanaema TB sijui ,
ndio huyu kijana kuona zile pesa za shuga mamy akaenda kwake .
Kijana aliumwa kwa
miezi 3 hivi kisha akafariki dunia akaniacha duniani mwenyewe , kule kazini
nilifukuzwa kaza na bosi wangu kisa nilitaka kumwambukiza ugonjwa wa ukimwi ,
lakini siku moja alinipigia simu kunieleza kwamba mke wake ameadhirika na
UKIMWI pia lakini yeye anasema hajaadhirika .
Hapo ndio
nilishangaa sana , kwanini mke wa aadhirike yeye asiadhirike au mke wake nae
alikuwa anatoka nje ya ndoa bila mume wake kujua ? basi hiyo ni siri yao
nyumbani kwao mimi hayanihusu .
Lakini ndio hivyo
nilikuwa nimeshaadhirika na UKIMWI kazi nimeshafukuzwa sina cha kufanya wala
kutafakari nilifikiria zaidi kuhusu ugonjwa wangu wa UKIMWI na jinsi
nitakavyoweza kuishi maisha marefu kwa matumaini .
KAHABA
Baada ya kuona
maisha magumu na sina lolote la kufanya mimi kama mwanamke mrembo na mwenye
mvuto niliamua kutafuta njia rahisi zaidi ya kujipatia kipitano nilifikiria
njia nyingi sana ambazo zingeweza kunipatia angalau mlo na mavazi katika siku
zangu za maisha zilizobakia baada ya kugundulika nina virusi vya ukimwi
Nikaanza kutafuta
sehemu ambazo naweza kuuza mwili wangu kwa pesa za chapchap niweze kuendeleza
maisha yangu ya kila siku , nilikuwa na ramani yangu kwanza pale OHIO , JOLLY ,
MACHENI , BILLS NA LATAVERNA hizo ni sehemu 5 kuu za starehe jijini dare s
salaam kwahiyo huko naweza kufanya kazi za kujiuza kwa wiki nzima kila siku
bila kuchoka .
Ohio ilikuwa nzuri
ila tatizo lake ni kwamba kila anayepita pale anakujua halafu unatakiwa
uonyeshe maungo yako hazarani mimi sikuzoea tabia hizo na sikuwa na mhemko huo
kwahiyo nilivaa miwani yangu na kuacha mapaja nje tu waangalie wenyewe kama
wanapenda watakuja . Kule macheni tatizo lake ni mashoga wengi sana , yaani
mwanaume anaweza akaja kutafuta Malaya akakuchanganya wewe ni shoga , wale
mashoga wanaojiuza hawana tofauti na sisi wanawake tunaojiuza wakati Fulani
ulitokea ugomvi mkubwa watu waliamulia tulimgombea mwanaume .
Billa nako kuzuri
ila vijana wengi sana halafu hawana pesa , na vitoto vidogo vingi , nilikuwa
naogopa matatizo na vijana wa kule sikupenda kufanya mchezo na watoto wadogo
waliokuwa wananitaka hata kwa dau gani nilingoja wanaume wenye pesa zao tu sio
zaidi .
Basi nilianza
safari za kuelekea jolly club kwa ajili ya kujiuza mwili wangu nipate angalau
chochote cha kula na kufanya katika maisha yangu , pale jolly club nilikutana
na dada mmoja anaitwa Aisha , huyu dada nae ni kahaba mzoefu akaanza
kunionyesha mambo kadhaa wa kadha kuhusu biashara ya ukahaba na kadhalika .
Hapa ndio nilijufunza kwamba sio makahaba wote ni masikini au hawajiwezi kuna
wengine wanajiweza na wanazo fedha ila wanapenda kufanya ukahaba yaani
wamechoka na dunia wengine walikuwa na wanaume wao wakaachika wakaamua kuja
huku kwenda na mwanaume wowote yule anayekuja .
Wengine wana matatizo
katika ndoa zao kupigwa na kadhalika wanaamua kuja huku kujiuza au kukaa huku
ili kuepuka matatizo katika ndoa zao au mahusiano yao , wengine ndio kama hivyo
waume zao hawana nguvu za kutosha kufanya nao tendo la ndoa wanaamua kuwa
makahaba kila mtu na lake na mambo yake pia .
Wengine wanafanya
huu ukabaha kwa ajili ya kupeleleza yaani ni wapelelezi wa polisi au watu
Fulani katika serikali wako katika mitaa hii kuzuga tu , ili wafanikishe kazi
zao za uchunguzi kama polisi wa usalama sehemu walizoko .
Mwisho wa yote
siku hizi kuna vita kubwa katika biashara hii ya ukabaha mjini dare s salaam ,
mfano kule jolly kuna wazungu na wahindi wanakuja kufanya biashara ya ukahaba
kwahiyo wewe mwamfrika unakazi ngumu kuwapita wale wazungu na wahindi au wachina
.
Siku hizi wanaume
wengi wanapenda kitu kinaitwa JICHO yaani kufanya mapenzi kinyume na maumbile ,
hii nayo ni soko kuu , mfano mwingine anaweza kuja kwako anataka jicho na wewe
hutoi jicho maana yake unakosa soko suluhicho ni kujitoa mhanga na kufanya
mapenzi kwa kuwa mteja ni mfalme .
Mbaya zaidi kuna
wanaume wengine wanakuja wanaweza kukuchukua uende nao kufanya ngono kumbe
wanakupiga filamu za ngono wakati unafanya kitendo hicho haswa wazungu wengine
wanakupa ufanye mapenzi na mbwa wao au wanyama wao wengine mambo yanaenda hivyo
.
Biashata hii ya
ukahaba ilinichanganyia sana kwa miaka 2 niliyoifanya na kwa kweli hakuna
aliyenijua kama nimeadhirika na ugonjwa wa ukimwi nilikuwa najitunza na kutuza
siri zangu hizi kuu na sikupenda kuzoeana na watu sana hadi waniulize hivyo
Siwezi kuhesabu ni
watu wangapi nimefanya nao ngono lakini ni zaidi ya 300 siku zingine nafanya
kazi na watu zaidi ya 3 kwa siku moja kwahiyo mambo yanaendelea halafu wengi
hawakupenda kutumia mipira ya kiume yaani kondo walipenda kuja hivi hivi tu
bila kinga chochote kile
Na mimi nilikuwa
nimeshaadhirika nilichokuwa natafuta ni fedha za kuendeleza maisha yangu
kwahiyo hata kama nikifanya ngono zembe bila kinga mimi hainiumi sana kwa kuwwa
nilishajua hali yangu sikuweza kuitengua siku wa chochote cha kufanya zaidi ya
hichi .
Hii ilikuwa ni
kulipiza kisasi kwa maasi ambayo yule kijana alinifanyia kuniambukiza UKIMWI
kwa makusudi huku akijua kabisa ameadhirika siku nyingi ,kwakuwa yeye ameamua
kuniuwa mimi basi na mimi nauwa wengi zaidi na sijali kuhusu dhambi hizi
nilizozifanya na sijutii kabisa .
MAISHA YA
MTAANI
Huku mitaani
waliniita majina kama JLo wakati mwingine salma hayek yaani wale waigizaji
maarufu duniani kwa urembo nilio nao na mvuto wake , hakuna hata mmoja
aliyekuwa na mawazo kama nimeadhirika au la kwa maana yule kijana niliyekuwa
nae kama mpenzi alikufa kifo cha ghafla watu walisema amekufa kwa pressure .
Mitaani napo
nilikamua kinoma , waume za watu walikuja mpaka mlangoni kwangu na magari yao ,
wananipakia na kunipeleka katika kumbi za starehe na sehemu nyingine nyingi
sana wengine walinihonga mali na mambo kibao kisa wamenipenda wanataka ngono
Na kwa uhakika
hawa wanaume niliwapanga sawia kabisa na hakuna aliyeweza kutambua mimi nina
wanaume wangapi na wanaishi wapi wengi walijua ni washirika wangu katika kazi
zangu na mambo yangu mengine kwanza sikupenda kuongea na mwanaume wowote
chumbani kwangu wote nilikuwa nawaambia tukutane mbali kidogo na nyumbani haswa
kati katika ya jiji .
Katika hawa wateja
wangu kulikuwa na kijana mmoja anayeitwa juma huyu juma alikuwa na rafiki yake
mmoja anayeitwa Shy , kijana mwembamba mwenye umbo la wastani , hana ndevu
halafu ni mcheshi sana , alifanikiwa kuiteka moyo wangu , sasa nilitaka
kumwambia mara kibao kwamba nimemzimia
Tatizo ni kwamba
anayekuja kunichukuwa pale ni juma , juma huja pale kwa kusindikizwa na Shy ,
basi juma akanitambulisha katika website moja inayoitwa darhotwire
www.darhotwire.com , nyumbani nikienda kupumzika nilipenda kushinda katika
tovuti hii kuchat na marafiki na watu wengine .
Huyu shy nae
nilimkuta katika site hii usiku wa manane anachat na jamaa zake , ila siku moja
nilikutana na kijana mwingine anayeitwa politeman , huyu ndio alinichanganya
kabisa , kwanza jina lake na jinsi aliyokuwa anaongea kweli nilizimia mwenyewe
bado nikawa na siri kubwa moyoni je hivi tukifanya ngono inakuwaje ?
Maisha yaliendelea
tu , basi nikimpenda politeman , huyu kijana akawa anakuja mpaka nyumbani
kwangu wakati mwingine na huwa nampa computer yangu aitumie tukaenda zaidi
nilimshitukia kumbe huyu polite ana urafiki wa kimapenzi na dada mwingine
anayeitwa salma siku moja walipanga kwenda kufanya mapenzi lakini polite
akakataa ?
Sikuamini macho
yangu wala masikio siku nyingi kama naota kumbe polite alikuwa na urafiki na
dada mmoja anaitwa Maria Chipz ?? Sikuamini , nilimuheshimu sana maria na
sikutegemea kama anaweza kufanya hivyo hata siku moja , muda ukaenda kumbe kuna
dada mwingine anaitwa REHEMA naye alikuwa anampenda Politeman Miss upanga Naye
anampenda Politeman we acha tu
Nikamwaga chini
sikupenda tabia zake za kitoto kitoto anazowafanyia hao kina dada wengine
ingawa nilifanya nae mapenzi kama mara 4 hivi na mara zote hatukutumia kinga na
nilikuwa nimeadhirika ila ni siri yangu , polite hajui na wengine wote hawajui
lakini ndio maisha hayo
Haya ndio hivyo ,
nami sasa hivi nakaribia kufariki dunia niko zangu kitandani hapa hospitali ya
Amana mkoani dar es salaam , kweli maisha ni safari ishi upendavyo na sio
watakavyo , mwisho wa yote dunia sio hadaa wala dunia haikuchukii au haitaki
kukufanyia chochote kibaya
Bali watu ndio
hadaa , hata kama ni ndugu yako rafiki yako , hakikisha humpi nafasi akutawale
aweze kukumiliki wewe na kukuamrisha chochote kile anachotaka yeye , kama
ukifanya hivyo ndio utaishia kubaya kama mimi
Bosi wangu
alinimiliki sana nikampa penzi , kijana wa mitaani nae alinimiliki mpaka sasa
nimeaona faida zake na hasara zake
Wacha ningoje siku
zangu nife nizikwe niende ahera Kwaheri .
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )