Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye wameokolewa na vikosi vya
jeshi la nchi hiyo.
Waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo amezungumza na shirika la
utangazaji la BBC na kusema wote wameokolewa na wako salama
Taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki ilieleza...
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )