MCHUMBA wa
staa wa mduara Bongo, Zuwema Mohamed ‘Shilole’, Uchebe Ashiraf
amefunguka kuwa kuliko kumkosa Shilole kwenye maisha yake ni bora
asiwepo duniani kabisa.
Akipiga mastori na Over Ze Weekend, Uchebe
alisema kuwa, pamoja na kwamba amegundua Shilole alirudisha mapenzi na
bwana’ke wa zamani, Nuh Mziwanda lakini hayuko tayari kumuacha.
“Ninajua
amenikosea sana, lakini siko radhi kumuacha, ninampenda mno na niko
radhi kupoteza maisha yangu kwa ajili yake au niuze chochote
nilichonacho ili tu nimridhishe atakavyo,” alisema Uchebe.
Na Imelda Mtema| Ijumaa WikiendaTupe Maoni Yako( Matusi Hapana )