Dj wa Msanii Diamond Platnumz, Romy
Jones ‘RJ’ amethibitisha kuwa ni wasaa mwingine wake kuonesha sura
nyingine ya vipaji alivyo navyo mbali na kuwa Dj na msanii mwenye uwezo
wa kuandika na muziki wa Rap ..@romyjons ni Muigizaji pia. . . Kupitia
ukurasa wake wa Instagram, Romy Jones ametoa taarifa ya ujio wa
tamthiria aliyoshiriki inayokwenda kwa jina la KAPUNI , stay tune