Mwanamitindo maarufu nchini Tanzania,
Hamisa Mobeto ametinga nchini Uganda kwa mbwembwe za aina yake huku
akipokelewa kwa shangwe na ndugu jamaa na marafiki waliofika kumpokea
katika Uwanja wa Ndege alipowasili. Wakati hasimu wake, Zari akitarajia
kufanya event yake ya Zari All White Party nchini Uganda nyumbani kwao
kesho December 21 mwaka huu, siku hiyohiyo Hamisa naye amealikwa kwenye
Tamasha la Girls Power ambalo litafanyika siku moja na party ta Zari,
jambo ambalo linavuta hisia za wadau na wapenzi wengi wa burudani.
Shuhudia Mobeto alivyotinga Uganda.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )