Katika uganga na uchawi magonjwa yamegawanyika katika makundi makuu mawili .
Kundi la kwanza ni magonjwa halali na kundi la pili ni magonjwa haramu.
Magonjwa
halali ni magonjwa yanayo tokana na sababu za kisayansi na
magonjwa haramu ni magonjwa yanayo tokana na kurogwa.
Wachawi wana uwezo wa kutengeneza magonjwa mbalimbali na kuwatupia watu walio wakusudia.
Mtu
alietupiwa maradhi ya kichawi huonyesha dalili zote za mgonjwa
wa kawaida mwenye ugonjwa huo lakini akienda hospitali ugonjwa
unakuwa hauonekani na akitumia dawa hapati nafuu yoyote.
Wachawi
wanaweza kutengeneza ugonjwa wowote ule lakini magonjwa ambayo
wachawi hupenda kuyatengeneza ni pamoja na kifafa, kiharusi,
ukosefu wa nguvu za kiume, ugumba kwa wanawake, maradhi ya
akili ( ukichaa ), vidonda vya tumbo na maradhi ya kisukari kwa
kutaja machache…
Wachawi
wanapenda kutengeneza maradhi hayo niliyo yataja hapo juu kwa
sababu ya umuhimu wake katika kutekeleza mipango yao ya
kichawi pamoja na upatikanaji wa malighafi ama vitendea kazi
vya kutengeneza maradhi hayo.
Nimesema
umuhimu wa maradhi hayo katika kutimiza mipango ya kichawi
kwa sababu wachawi wanapo mtupia mtu maradhi au uchawi wowote
ule huwa na kitu au jambo wanalo taka kulitimiza.
Kwa
mfano lengo la wachawi linaweza kuwa ni kumfanya mtu
achanganyikiwe akili lakini badala ya kumtumia jinni la kumtia
ukichaa moja kwa moja wanaweza kumtumia uchawi wa kumfilisi
mali na utajiri mtu huyo na otomatik mtu huyo ataishia
kuchanganyikiwa.
Zipo njia nyingi wanazo tumia wachawi kuwatia watu umasikini, moja ya njia hizo ni hii hapa;
Wanachukua
nywele za sokwe au nyani, kucha ya kidole kidogo cha mkono wa
kushoto cha maiti ya mtu mzima, mti ulio chukuliwa kutoka
kwenye kitanda cha sokwe mtu, mzizi ulio okotwa kaburini
wakati kaburi linachimbwa , sanda iliyo tumiwa na marehemu au
kitambaa kilicho tumika kukafinia maiti pamoja na vitu vingine
kumi na moja ambavyo nachelea kuvitaja kuwaepuka watu wenyen
roho za kichawi ambao wanaweza kuvitumia kuwaumiza wenzao.
Uchawi huu hupikwa kichawi na kisha huenda kuzikwa kichawi kwenye nyumba anayo ishi mtu aliekusudiwa.
Basi
unaambiwa, mtu huyo yeye na familia yake hawataishi katika
nyumba hiyo kwa zaidi ya siku 49 wala hawawezi kuendelea kuwa
na mali walizo nazo ndani ya siku hizo nilizo zitaja.
Watafilisika ndani ya siku hizo na baada ya siku hizo mwenye
mali ataanza kuingia katika mchakato wa kuwa mwehu/kichaa.
Turudi kwenye maradhi ya kisukari. Watu wengi wanasumbuliwa na kuteswa na maradhi hatari ya kisukari.
Baadhi yao wamefikia hadi hatua ya kukatwa miguu yao kwa sababu ya maradhi ya kisukari.
Swali
la kujiuliza mtu anae sumbuliwa na maradhi ya kisukari ni Je
UTAJUAJE KAMA KISUKARI ULICHO NACHO NI HALALI AU HARAMU ? Ama
kwa lugha nyepesi JE UTAJUAJE KAMA MARADHI YA KISUKARI ULIYO
NAYO NI YA KAWAIDA AU YANATOKANA NA KUROGWA ?
Ni vyema kujua jambo hilo ili upate kujua njia sahihi ya namna ya kutibu tatizo lako.
JINSI YA KUJUA KAMA KISUKARI ULICHO NACHO NI HALALI AU HARAMU.
Ili kujua kama kisukari ulicho nacho ni halali au haramu, fuata maelekezo yafuatayo.
1. Kunywa maji ya kutosha
2. Mkojo ukikubana nenda kwenye eneo lenye mchanga
3. Ukifika kwenye eneo lenye mchanga au udongo, kojoa mkojo wako.
4.
Baada ya kukojoa mkojo katika eneo hilo tafuta sehemu upumzike
kwa dakika 30 hadi 40 au kama unaweza kusubiri hapo hapo ni
sawa tu.
5.
Baada ya dakika 30 au 40 rudi katika eneo ulilo kojoa mkojo
wako.. UKIKUTA KUNA SISIMIZI KATIKA ENEO HILO ULILO KOJOA BASI
JUA MARADHI YA KISUKARI ULIYO NAYO YANATOKANA NA KUROGWA
LAKINI UKIKUTA HAKUNA SISIMIZI BASI JUA MARADHI YA KISUKARI
ULIYO NAYO NI YA KAWAIDA…
JINSI WACHAWI WANAVYO TENGENEZA KISUKARI CHA KICHAWI
Siwezi
kuelezea kwa uwazi jinsi wachawi wanavyo tengeneza kisukari
cha kichawi kwani kwa kufanya hivyo nitakuwa ninawafundisha
watu ulozi .
Kidogo
ninacho weza kukueleza ni kuwa, malighafi kuu inayo tumika
kutengeneza maradhi ya kisukari cha kichawi ni CHURA WENYE
KUTOA UDENDA .. Wadudu hao huchanganywa na madawa mengine ya
kichawi na uchawi ukisha kamilika mtu alie kusudiwa hulishwa
uchawi huo kupitia kinywani kwake.
NINI TIBA YA MARADHI YA KISUKARI CHA KICHAWI… Ipo
tiba asilia inayo tokana na mimea ya porini. Tiba hii
huwaponyesha kabisa watu wenye kusumbuliwa na maradhi ya
kisukari cha kurogwa.
Vile
vile tiba hii huwasaidia pia watu wenye maradhi ya kisukari
cha kawaida kwa kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu..
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )