Kumbukeni
na mimi pia ni binaadam... Nina moyo kama nyie... Au mnadhani napenda
kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa
kusingiziwa... Mnaona nafurahia sio.... Hivi mna nini jamani... Yaani
mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from nowea
wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu unakaa
unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu...
Kwani
kuna niliemkosea yoyote mpaka muanze tu kunikashif na kunitolea maneno
mazito namna hio... Kisa mtoto... Mnadhani naipenda hii hali... Hata
mimi natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho.... So
mnadhani sijui kama umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi
anytime we die... Mnafikiria nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku
ndo Mungu anasema ananichukua...
Hata
mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na mwanangu... I want dat
with all my life but I cant.... Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata siku
moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia... But just dont rub it in...
It hurts... And im jus a human being like each and every one of
u...."-Wema ameandika.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )