Hii ni good news nyingine kutoka kiwanda cha Bongo Fleva, inahusu watanzania Navy Kenzo kuingia katika TOP 10 ya video 10 kali za Afrika na video ya ngoma yao “Kamatia” video ambayo haijafikisha hata mwezi toka imezinduliwa rasmi, video ya “Kamatia” imeingia kwenye TOP 10 ya Trace TV.
Enjoy kwa kuitazama video ya Navy Kenzo “Kamatia”
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )