Mama Steven Kanumba amesema Elizabeth Micheal ‘Lulu’ hana msaada kwake na hata sura yake ameisahau.
Akizungumza kwa
uchungu katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Jumatatu hii, Mama
Kanumba amesema kitu ambacho alikuwa anakihitaji kutoka kwa Lulu ni
salamu pekee.
“Lulu hanisadii
kitu chochote na hata sura yake nimeisahau,” alisema Mama Kanumba.
“Mimi sihitaji msaada hata salamu tu inatosha,”
Pia alisema
anashukuru kumuona Mama Lulu kwenye ibada ya siku ya kumbukumbu ya kifo
cha Kanumba iliyofanyika Machi 7 katika makaburi ya Kinondoni.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )