Diamond Platnumz ameteuliwa na ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania kuwa balozi wa vijana.
Diamond akiwa na balozi wa Uingereza nchini, Bi. Dianna Melrose
Tangazo hilo limetolewa na balozi wa nchi Uingereza nchini, Bi. Dianna Melrose.
Ubalozi huo umekuja kupitia mradi wake wa Next Generation Tanzania.
“Superstar Diamond @diamondplatnumz is now #Tanzania Youth Ambassador @nextgentanzania @UKinTanzania @VelavanG,” ametweet Bi. Merlose kwenye picha akiwa na staa huyo.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )