Aliyekuwa afisa habari wa klabu ya Yanga Bw. Jerry Muro
ameamua kukubali hukumu iliyoolewa dhidi yake na Shirikisho la Mpira wa
Miguu Tanzania (TFF) inayomtaka kutojihusisha na masuala ya soka kwa
muda wa mwaka mmoja.
Kupitia instagram, Muro ameandika:
Kila nikifikiria figisu za soka la Bongo aisee nachoka kabisa, let me walk away for a while though I will be missing my fans and my people wa kimataifa but I must walk away for a while.Kamati ya nidhamu ya TFF ilimtia hatiani Jerry Muro kwa kosa la kupinga uamuzi wa TFF na kulishambulia kupitia vyombo vya habari shirikisho hilo la soka nchini ambapo kamati hiyo ilitoa adhabu ya kumfungia Muro kutojihusisha na masuala ya soka kwa mwaka mmoja pamoja na faini ya shilingi milioni tatu za Tanzan
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )