Baada ya
Mayunga kurudi nchini akitokea marekani alipoenda kufanya mdundo wa “
Please don’t go away” na mkali
Akon, July 18 2016 Ayo TV inakusogezea exclusive interview ambayo
Mayunga ameeleza tofauti aliyoiona nyumbani kwa
Akon alipokuwa
Marekani.
‘
Unajua nyumbani kwa Akon
nyumba yote imetawaliwa na white yaaani inaonyesha kabisa kuwa jamaa
anapenda sana usafi alafu kingine ni kuwa nyumba yake yote imetawaliwa
na vioo‘>
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )